Friday, March 1st, 2019
BI TAIFA IJUMAA, MACHI 1, 2019
Mrembo wetu leo ni ANN KIARII, 22. Yeye ni mfanyakazi wa kampuni ya Angels jijini Nairobi. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri pamoja na kuendesha gari. Picha/ Joseph Kuria