Friday, March 15th, 2019
BI TAIFA, IJUMAA, MACHI 15, 2019
MGENI wetu wa leo ni Bi Lilian Awino, 22. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Egerton, Njoro, Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea, kusikiliza muziki na mazoezi ya viungo. Picha/ John Njoroge