Friday, March 22nd, 2019
BI TAIFA IJUMAA, MACHI 22, 2019
MGENI wetu wa leo ni Bi Anita Cherotich, 23, mwanafunzi katika chuo cha Cambridge, Eldoret. Uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kuimba nyimbo za injili. Picha/ Titus Ominde