
Thursday, July 17th, 2025
BI TAIFA – JANE SYOMBUA MWITHI
Mrembo anayechukua zamu kwenye safu hii sasa ni Jane Syombua Mwithi. Jane ni mwanahabari wa dijitali aliyefuzu katika Chuo Kikuu cha KCA na shahada majuzi. Ana utaalamu katika masuala ya Digital Marketing na anapenda sanaa, fasheni na kujumuika na marafiki. PICHA | HISANI