Bi Taifa Bi Taifa

BI TAIFA, KURIA MUTHONI

Aliye bahatika kuwa mgeni wetu leo ni Bi Kuria Muthoni kutoka mji wa Nakuru, na amabye amesomea kuwa dereva wa mashine za kutengeneza Barabara. Ana umri wa mika 25 na uraibu wake ni kusafiri, kundesha mashine kubwa kubwa na kutazama filamu.

Mpate kwenye mitandao ya kijamii