BI TAIFA- KHADIJA ESSIE

Khadija Essie mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia safu.Yeye ni mkazi wa Nairobi.Uraibu wake ni kuogelea, kusikiliza muziki na kusoma.PICHA|RICHARD MAOSI

Mpate kwenye mitandao ya kijamii