Bi Taifa Bi Taifa

BI TAIFA – MIMO CHELIMO

Mimo Chelimo, 32, ni mfanyabiashara aliye na msukumo wa uvumbuzi na ukuaji wa kibiashara. Uraibu wake ni uonjaji divai, ubaharia na uchezaji gofu. PICHA|LUCY WANJIRU

Mpate kwenye mitandao ya kijamii