BI TAIFA NOVEMBA 04, 2020

Everlyn Mugo 22, ni mkazi wa eneo la Umoja Lanet, Nakuru na amepiga hatua katika tasnia ya uanamitindo .Uraibu wake ni kusikiliza muziki wa Bongo na kucheza voliboli. Picha/Richard Maosi