BI TAIFA NOVEMBA 06, 2019

Jacinta Pendo ni mwanamitindo na mshonaji wa mavazi ya kiasili pamoja na mikufu kutoka mjini Nakuru. Muda wake mwingi anapenda kusakata densi na kujumuika na marafiki.

Picha/Richard Maosi

Mpate kwenye mitandao ya kijamii