Sunday, November 22nd, 2020
BI TAIFA OKTOBA 18, 2020
Sylvia Buluma 24,ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega, yeye ni mratibu wa mashindano ya wanamitindo kutoka Bonde la Ufa.Anapenda kulea talanta za wanamitindo chipukizi mashinani. Picha/Richard Maosi