BI TAIFA – WINNIE ODHIAMBO

Aliyebahatika kutupambia ukurasa ni Winnie Odhiambo, 25, daktari kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kuongelea na kukwea milima. BONIFACE MWANGI|TAIFA

Mpate kwenye mitandao ya kijamii