Dimba
Sebastian Sawe bingwa mpya London Marathon; Kipchoge amaliza wa sita

Mkenya Sebastian Sawe akishiriki mbio. Picha|Hisani
MKENYA Sebastian Sawe ameshinda London Marathon kwa saa 2:02:26 akimpita raia wa Uanda Jacob Kiplimo.
Aidha, Mkenya Alexander Mutiso ambaye alibeba taji hilo mwaka jana amekuwa wa tatu katika mbio ambazo lejendari wa miaka mingi Eliud Kipchoge ameridhika na nafasi ya sita.
Habari kamili ni hivi punde…