• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Serikali kusaidia waajiri kuboresha maslahi na mazingira ya wafanyakazi

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imetangaza kwamba itasaidia waajiri kuboresha mazingira ya wafanyakazi. Katibu katika Wizara ya Utumishi wa...

Jaji aliyetimuliwa adai alitemwa bila utaratibu

Na SAM KIPLAGAT JAJI wa Mahakama Kuu, Martin Muya amesema, Tume ya Huduma kwa Mahakama (JSC) ilimsimamisha kazi bila kufuata utaratibu...

Wizara yataka Wakenya waliopoteza ajira walipwe na serikali

Na SAMWEL OWINO WIZARA ya Leba inataka sehemu ya mkopo wa Sh257 bilioni ambazo Kenya ilipata kutoka kwa Shirika la Fedha Duniani (IMF),...

Shaffie Weru sasa afukuza Sh21 milioni akidai alipigwa kalamu kupitia WhatsApp

NA MWANGI MUIRURI Aliyekuwa Mtangazaji wa kituo vcha Radio cha Homeboyz Shaffie Weru, amezindua harakati za kuvuna Sh21 Milioni kutoka...

Naibu Waziri aishangaa sekta ya matatu kunyima vijana nafasi za kazi

Na MWANGI MUIRURI Naibu Waziri wa Spoti, Utamaduni na Turathi za Kitaifa Bw Zack Kinuthia ameteta kuwa sekta ya magari ya uchukuzi wa...

Vijana wataka wapewe nafasi katika miradi ya ujenzi wa barabara nchini

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wanastahili kupewa nafasi katika miradi kadha ya ujenzi wa barabara zinazoendeshwa kupitia serikali chini ya...

CHARLES WASONGA: Serikali ikome kuhujumu vyama vya kutetea wafanyakazi

Na CHARLES WASONGA NI haki ya wafanyakazi kote ulimwenguni kujiunga na vyama vya kutetea masilahi yao kama vile nyongeza ya mishahara na...

Java yawaomba wafanyakazi wajiuzulu kwa hiari

NA WANGU KANURI Mkahawa wa Java wenye afisi zake kuu jijini Nairobi umewapa wafanyikazi wake notisi ya kujiuzulu  kwa hiari kabla ya...

DIGRII ZA MAJUTO: Vibarua licha ya kusoma

Na BENSON MATHEKA UKOSEFU wa kazi nchini umefikia kiwango cha kutisha na kulazimu vijana wengi wanaofuzu katika vyuo vikuu kufanya kazi...

Waziri awasilisha ripoti ya nafasi za ajira serikalini kulingana na kabila

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine imefichuka kuwa watu kutoka kabila la Agikuyu ndio wanashikilia nyadhifa za juu katika utumishi wa...

ONGAJI: Ukosefu wa kazi umeumbua na kudhalilisha vijana wetu

Na PAULINE ONGAJI HIVI majuzi, niliamshwa na vurumai karibu na nyumbani kwangu. Nilipotoka nje, nilikumbana na kundi la vijana waliokuwa...

Norfolk yabatilisha uamuzi wa kutimua wafanyakazi wote

Na SAMMY WAWERU Kampuni ya Fairmont inayomiliki mikahawa kadhaa nchini imetangaza kubatilisha uamuzi iliyochukua kuwafuta wafanyakazi...