• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 5:55 AM

AKILIMALI: Mkulima anavyochuma kutokana na matundadamu

Na PETER CHANGTOEK MATUNDADAMU yenye rangi nyekundu yananing’inia kwa mimea katika shamba moja lililoko katika eneo la Ainabkoi,...

AKILIMALI: Anajichumia kwa kuunda unga wa mabuyu na mafuta ya nazi jijini Nairobi

Na WINNIE ONYANDO MABUYU ni tembe ambazo Wapwani wamezimumunya kwa miaka mingi, baada ya kuongezwa rangi tofauti, maarufu ikiwa...

AKILIMALI: Jinsi mfugaji anavyoweza kukabili kero ya gharama ya juu ya lishe

Na SAMMY WAWERU GHARAMA ya chakula cha mifugo inaendelea kupanda kila uchao hasa kwa sababu ya bei ya mafuta ya petroli. Mwaka huu,...

AKILIMALI: Mwanamke aeleza biashara ya majeneza inavyompa riziki

Na WINNIE A ONYANDO Je, wajua jinsi vitambaa vyeupe vinavyong’aa ndani ya jeneza huundwa na hata jinsi jeneza hupambwa? Jesinter...

AKILIMALI: Kwa mtaji wa Sh40,000 pekee wanahesabu maelfu zaidi kutokana na ufugaji mseto

Na MERCY MWENDE CHANGAMOTO za ulipaji wa mikopo na migogoro ya wanachama imechangia pakubwa kufeli kwa vyama vingi vya kilimo na ufugaji...

AKILIMALI: Amegeuza taka ya mifupa, mayai kuwa mbolea asili

WAIKWA KIBOI na CHARLES WASONGA NYAKATI hizi wakulima wengi wamekumbatia matumizi ya mbolea asili badala ya zile za kisasa, almaarufu...

AKILIMALI: Mbinu safi ya kuzalisha mbegu za viazi vya Kizungu visivyoathiriwa na maradhi

Na PETER CHANGTOEK VIAZI ni miongoni mwa vyakula vinavyotegemewa mno nchini Kenya. Maadamu viazi ni chakula cha pili kinacholiwa kwa...

AKILIMALI: Jinsi ufinyanzi inavyomfaidi

NA WACHIRA ELISHAPAN Mara tu jogoo wa kwanza anapowika ndipo Stephen Kariuki anafunganya virago vyake kutoka nyumbani kwake kiria,...

Ufugaji wa kuku riziki tosha kwake

NA WACHIRA ELISHAPHAN VIJANA wengi wanapomaliza masomo yao, hujiingiza katika anasa na matumizi ya mihadarati ambayo hatimaye huwadhuru...

Vigezo muhimu kuzingatia kufanikisha kilimo cha mvungulio

Na SAMMY WAWERU WAKULIMA wa vivungulio wamekumbatia mfumo huo wa kisasa kwa sababu kadha wa kadha. Ni mfumo unaosifiwa kuimarisha...

Amejipata tajiri kwa kuwashonea wateja nguo kwa ustadi mkuu

Na MAGDALENE WANJA Bi Joan Aoko alikuwa na hamu kubwa ya kupata ajira baada ya kukamilisha masomo yake katika chuo kikuu ili kujipatia...

Corona ilivyomsaidia kuvuta wateja wa nyama

Na MAGDALENE WANJA Baada ya kujiuzulu kutoka kwa kazi ya uratibu wa miradi katika kampuni moja nchini, Bw Lawrence Waiyaki aliamua...