Habari
Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari afariki akipokea matibabu London

Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari (kulia) na mrithi wake, rais wa sasa Bola Tinubu. Picha|Maktaba
ALIYEKUWA Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amefariki akipokea matibabu jijini London, Uingereza; msemaji katika afisi yake Garba Shehu amethibitisha.
Buhari alikuwa Rais kabla ya kumpokeza mrithi wake wa sasa Bola Tinubu aliyeshinda kiti hicho katika uchaguzi Februari 2023.
Mengi zaidi yanafuata…