• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

KIKOLEZO: EMB kama ‘ndrama’, kunani?

Na THOMAS MATIKO KABLA ya kifo cha mzee Moi, maceleb wawili waliokuwa wakitrendi hapa nchini walikuwa ni Tanasha Donna na Kevin...

KIKOLEZO: Walichepuka ila haikuwa ishu!

Na THOMAS MATIKO KULE Bongo wana msemo wao kuhusiana na michepuko ‘Michepuko sio dili’. Hakika kuchepuka mwisho wake huwa ni...

KIKOLEZO: Ndege wa mbawa tofauti

Na THOMAS MATIKO UNAAMBIWA ndege wenye mbawa sawa huruka pamoja. Ni kawaida kuwaona masupastaa wakioana na mastaa wenzao walioko...

BAMBIKA: Bae mpya ninaye, ila mimba ndiyo kidogo bado

Na THOMAS MATIKO MTANGAZAJI maarufu wa runinga Betty Kyalo kakanusha tetesi kuwa kanasa ujauzito wa ‘bae’ wake mpya ikiwa ni wiki...

KIKOLEZO: Mapinduzi tata ya ‘serikali’

Na THOMAS MATIKO SIJUI ufahamu wako wa soka upoje na ikiwa wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kandanda ya Ulaya basi utakuwa unawafahamu...

KIKOLEZO: Oktobafest iliwapeleka na rieng

Na THOMAS MATIKO WIKENDI iliyopita ilikuwa ya aina yake. Mji wa Nairobi hakukukalika kabisa. Ikiwa wikendi ya kwanza ya mwezi...

KIKOLEZO: Ujuha wa mapenzi kwenye showbiz

Na THOMAS MATIKO KUNA msemo niliowahi kuusikia zamani kidogo; sikumbuki wapi ila yale maneno yaliniganda kichwani kwamba ‘ukitaka...

KIKOLEZO: Utamu wa hela si hoja…

Na THOMAS MATIKO KAMA ujuavyo, biashara ni matangazo na ndio sababu runinga nyingi huendea vichuna wenye umbo, sauti, uwezo mzuri wa...

DOMO KAYA: Tuko rada yenu tena sana!

Na MWANAMIPASHO HABARI za kwako ndugu yangu? Za tangu wiki iliyopita? Natumai Allah kakujalia neema zake kiasi cha wewe leo hii kutua...

KIKOLEZO: Sasa wataji-nice bila presha

Na THOMAS MATIKO BAADA ya listi ya waigizaji wa kiume waliolipwa mkwanja mnene mwaka huu (Juni 2018 hadi Juni 2019) kutoka, sasa...

KIKOLEZO: Tamu ikizidi sana…

Na THOMAS MATIKO WASWAHILI husema tamu ikizidi sana huwa sio tamu tena. Katika mawazo hayo, ipo ishu ya majeraha ya kooni kwa...

ANA KWA ANA: Stori yake ni kama telenovela

Na THOMAS MATIKO KWENYE tuzo za injili za Groove Awards 2019 zilizofanyika mwezi uliopita, jina la msanii Revival lilikuwepo kwenye...