• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

KRA kupiga mnada mizigo iliyoachwa

Na ANTHONY KITIMO MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru ya Kenya (KRA) imepanga kupiga mnada mizigo ambayo imechelewa kuchukuliwa katika Bandari...

Serikali kutafutia bandari biashara

Na ANTHONY KITIMO SERIKALI imepanga kutuma wajumbe kutafutia biashara bandari ya Lamu katika mataifa jirani kuanzia wiki hii. Hii ni...

Kila bandari Kenya kuwa na mkurugenzi wake mkuu

ANTHONY KITIMO na BENSON MATHEKA MAMLAKA ya Bandari ya Kenya (KPA), inapanga kubadilisha usimamizi wa bandari ili kila moja iwe chini ya...

Bandari: Wachukuzi watoa masharti kwa serikali

Na KALUME KAZUNGU MUUNGANO wa wamiliki wa kampuni za uchukuzi nchini (KTA), imetoa masharti yanayofaa kutimizwa na serikali kwanza kabla...

Wapwani wataka kummeza Yatani kuhusu Bandari

Na MOHAMED AHMED AGIZO la kuanzisha upya shughuli ya kumtafuta mkurugenzi mkuu wa bandari ya Mombasa limezua mjadala mkali miongoni mwa...

Viegesho vya kwanza vya mizigo bandari ya Lamu vyakamilika

Na KALUME KAZUNGU MRADI mkubwa Pwani wa kujenga Bandari ya Lamu (LAPSSET) umepiga hatua baada ya ujenzi wa viegesho vitatu vya kwanza vya...

Mwalala pua na mdomo kurejelea majukumu yake ya ukocha

Na CHRIS ADUNGO KOCHA wa zamani wa Bandari FC, Bernard Mwalala amefichua kwamba yuko pua na mdomo kurejea katika Ligi Kuu ya Kenya (KPL)...

Bandari yapandisha joto la siasa

JUMA NAMLOLA na WACHIRA MWANGI HATUA ya Serikali kuhamisha shughuli nyingi za bandari hadi miji ya Nairobi na Naivasha, imezua joto la...

MJI WA KALE: Serikali yaruhusu shughuli za wafanyabiashara katika bandari ya zamani

Na WINNIE ATIENO AFUENI kwa wafanyabiashara wanaotegemea bandari ya zamani maarufu Old Port iliyoko Mji wa Kale - Old Town - baada ya...

Muhiddin aelezea matumaini ya Bandari kung’aa KPL, FKF

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MASHABIKI wa soka wa eneo la Pwani, wamehakikishiwa kuwa timu ya Bandari itafanya vizuri kwenye mechi zao...

Rais azuru Kisumu kwa mara ya saba

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta alizuru Bandari ya Kisumu kwa mara ya saba kukagua ujenzi wake unavyoendelea. Rais alifanya...

Kwale kusimamia bandari ya Shimoni

Na FADHILI FREDRICK KAUNTI ya Kwale imekuwa ya kwanza kunufaika na ahadi za Rais Uhuru Kenyatta kwa viongozi wa Pwani, baada ya...