• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Bandari FC yatoka sare na AFC Leopards

Na STEVEN HEYWOOD TIMU ya Bandari imeponyoka na pointi moja dhidi ya mahasimu wao wa jadi AFC Leopards katika mechi ya Ligi Kuu ya Kenya...

Bandari yalaumu uhuni wa wafuasi Homeboyz

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MENEJA wa timu ya Bandari FC, Albert Ogari amelaumu vitendo alivyodai vya kihuni vilivyotekelezwa na mashabiki wa...

Afueni kambini Bandari FC ikikaribisha mabeki Odhiambo na Siraj kutoka mkekani

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MABEKI mahiri wa Bandari FC, nahodha Bernard Odhiambo na Siraj Mohamed, wanatarajiwa kuwa kikosini kwa mchuano wa...

Baada ya sare na Gor Mahia sasa Bandari FC yapania kuichapa City Stars

Na ABDULRAHMAN SHERIFF BAADA ya kutoka sare ya kutofungana na Gor Mahia jijini Nairobi sasa Bandari FC imepania kuhakikisha inazoa...

Ushindi wa kulipa kisasi wa Ulinzi Stars dhidi ya Bandari FC

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KOCHA wa Bandari FC, Andre Cassa Mbungo amesema kuwa makosa yaliyofanywa na wachezaji wake ndiyo yaliyosababisha...

Siraj Mohamed sasa atia bidii kuichezea Harambee Stars

NA ABDULRAHMAN SHERIFF BEKI wa Bandari FC, Siraj Mohamed amesema anafanya bidii ya mazoezi ya kibinfasi kuhakikisha anacheza kiwango cha...

Kiungo wa Bandari asifiwa na Adebayor

NA ABDULRAHMAN SHERIFF KIUNGO mshambuliaji wa Bandari FC na timu ya taifa ya Harambee Stars, Abdalla Hassan amepongezwa kutokana na...

Bandari yafurahia uteuzi wa wachezaji wake wawili kuwajibikia Harambee Stars

Na ABDULRAHMAN SHERIFF BANDARI FC imefurahia kuona wanasoka wake wawili wakiwa miongoni mwa wachezaji katika kikosi cha timu ya taifa...

Bandari iko tayari kulima Nzoia Sugar

NA ABDULRAHMAN SHERIFF KOCHA wa Bandari FC, Andre Cassa Mbungo amesema kuwa watakuwa wakitumia mbinu mbalimbali kulingana na timu...

Kimani kuidhinishwa rasmi naibu kocha Bandari

NA ABDULRAHMAN SHERIFF ANTHONY Kimani ataidhinishwa rasmi kuwa naibu kocha wa Bandari FC Alhamisi ambapo anatarajiwa kuongea na...

Maneja wa Bandari asifu kikosi chake kwa kuzima Ulinzi

NA ABDULRAHMAN SHERIFF MENEJA wa Bandari FC, Albert Ogari aliwasifu wachezaji wa timu yake kwa kufanikiwa kurudi safari yao ya Kericho...

FKF: Bandari yaikaribisha Vihiga United

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA umuhimu wa kushinda mechi ya Ligi kuu ya FKF dhidi ya Vihiga United FC kwani ni kufanya hivyo tu ndiko...