• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

Fainali ya Chapa Dimba kukosa uhondo kisa corona

Na JOHN KIMWERE  IDADI ya waathiriwa wa ugonjwa wa Covid-19 inazidi kuongezeka hapa nchini hali inayoendelea kuzima mpango wa...

Kocha wa Laiser Hill aapa kufunza wapinzani gozi Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE WAVULANA wa kikosi cha Laiser Hill Academy wamepania kutifua vumbi la kufa mtu kwenye fainali za kitaifa kufukuzia...

Ulinzi Youth inalenga makubwa Chapa Dimba

NA JOHN KIMWERE LISILOKUWAPO moyoni, pia machoni halipo. Ni msemo unaoashiria kwamba hakuna linaloweza kutimia bila ya kufanyiwa kazi....

Isiolo Starlets walenga ubingwa fainali za Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wasichana ya Isiolo Starlets itakuwa miongoni mwa vikosi saba vitakavyoshiriki fainali za kitaifa kuwania taji...

Dagoretti Mixed yalenga ushindi fainali za Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wavulana ya Dagoretti Mixed inalenga kutifua vumbi kali katika fainali za kitaifa za Chapa Dimba na Safaricom,...

Beijing Riders kuwakilisha Nairobi kwa fainali ya Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE KWA mara ya pili timu ya wasichana ya Beijing Raiders itawakilisha Mkoa wa Nairobi kwenye fainali za kitaifa za...

Wiyeta na Laiser Hill mabingwa wa Chapa Dimba Bonde la Ufa

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Wiyeta Girls kutoka Pokot Magharibi ilirejea kwa kishindo ambapo ilitawazwa malkia katika Mkoa wa Bonde la ufa,...

Wiyeta Girls yazima Bomet Queens 17-0

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wavulana ya Kapenguria Heroes ilijiweka pazuri kushinda kwa mara ya pili taji la Chapa Dimba na Safaricom katika...

Kapenguria Heroes wajiandalia Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE WALIOKUWA mabingwa wa Chapa Dimba na Safaricon Season One, kitengo cha wavulana Kapenguria Heroes katika Mkoa wa Rift...

Dagoretti Mixed na Beijing Raiders mabingwa wa Chapa Dimba Nairobi

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Dagoretti Mixed na Beijing Raiders zilitawazwa wafalme na malkia katika Mkoa Nairobi, kwenye mechi za Chapa...

Acakoro Ladies yanyeshea St Annes Eaglets 5-1

Na JOHN KIMWERE MCHANA nyavu, Catherine Omondi alicheka na wavu mara mbili na kusaidia Acakoro Ladies kushinda St Annes Eaglets mabao 5-1...

Mabingwa wa Chapa Dimba jijini ni wikendi

JEFF KINYANJUI na JOHN ASHIHUNDU MABINGWA wa Chapa Dimba eneo la Nairobi watajulikana wikendi hii, timu nane zikipepetana katika shule...