• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 PM

Chelsea waomba kucheza na Middlesbrough bila mashabiki katika robo-fainali ya Kombe la FA

Na MASHIRIKA CHELSEA wameomba mechi ya robo-fainali ya Kombe la FA kati yao na Middlesbrough mnamo Machi 19, 2022 kuchezwa bila...

Uingereza yavuruga mpango wa Abramovich kuuza Chelsea

Na MASHIRIKA MPANGO wa Roman Abramovic kuuza kikosi chake cha Chelsea umesitishwa baada ya bwanyenye huyo kuwekewa vikwazo na serikali...

Everton wateua Frank Lampard kuwa kocha wao mpya

Na MASHIRIKA KOCHA wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard, atahudumu ugani Goodison Park kwa miaka miwili na nusu ijayo baada ya kukubali...

Chelsea wasubiri hadi dakika za mwisho kubandua Brentford kwenye Carabao Cup

Na MASHIRIKA CHELSEA walitinga nusu-fainali ya tatu ya mashindano ya haiba katika kipindi cha miezi 11 chini ya kocha Thomas Tuchel...

Wolves wakaba Chelsea koo katika EPL ugani Molineux

Na MASHIRIKA KASI ya Chelsea kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu ilipigwa breki na Wolves waliowalazimishia sare...

Man-United na Chelsea zatoka sare uwanjani Stamford Bridge

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walijiandaa kwa ujio wa kocha mshikilizi Ralf Rangnick kwa kuwalazimishia Chelsea sare ya 1-1 katika gozi...

Ni kisasi tu wikendi hii!

LONDON, Uingereza Na MASHIRIKA Viongozi Chelsea na mabingwa watetezi Manchester City watakuwa mawindoni kulipiza kisasi dhidi ya...

Chelsea wakomoa Leicester City na kupepea kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA VIONGOZI wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea, waliendeleza ubabe wao katika kipute hicho muhula huu kwa kupepeta...

Chelsea wafungua pengo la alama tatu kileleni mwa jedwali la EPL

Na MASHIRIKA REECE James alifunga mabao mawili na kusaidia Chelsea kufungua pengo la alama tatu kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya...

Mount afunga mabao matatu na kuongoza Chelsea kukomoa Norwich 7-0 katika EPL

Na MASHIRIKA MASON Mount alipachika wavuni mabao matatu na kuongoza Chelsea kupepeta Norwich City 7-0 uwanjani Stamford Bridge. Chini...

Uthabiti wa Chelsea ni mtihani mgumu kwa wapinzani wao katika EPL – Chilwell

Na MASHIRIKA BEKI Ben Chilwell amesema itakuwa vigumu kwa wapinzani kutikisa uthabiti wa Chelsea walionyuka Brentford 1-0 na kutua...

Ishara Chelsea na Liverpool hawatashikika katika EPL muhula huu

Na MASHIRIKA JAPO ni mara tano pekee ambapo klabu zimetandaza mechi hadi kufikia sasa kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) muhula huu,...