• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Corona: Uingereza yawaagiza raia kufanyia kazi majumbani

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya...

Aina mpya hatari ya corona yagundulika

Na ELIZABETH MERAB WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,...

Corona: Kifo cha polisi chaanika mahangaiko

Na MAUREEN ONGALA MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa...

Polisi mpakani wapepeta corona kwa hongo ya Sh2,000

SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka...

Corona yaponda miji na vijiji

Na WAANDISHI WETU WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa...

Kenya na TZ kurahisisha upimaji corona

Na WINNIE ONYANDO HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo...

Dhuluma za kisaikolojia zinavyawatesa wanandoa kipindi cha corona

NA WANGU KANURI AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi...

Viongozi wa kidini wasuta wanasiasa kupepeta corona

Na Titus Ominde VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya...

WANTO WARUI: Tutahadhari kuhusu corona Kidato cha Kwanza wakiripoti wiki hii

Na WANTO WARUI Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi...

CHARLES WASONGA: Raia wanabaguliwa katika utekelezaji sheria za corona

Na CHARLES WASONGA NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa...

‘Corona imenisukuma kwa kona’

Na SAMMY WAWERU DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki...

MARY WANGARI: Utafiti mpya wahimiza manufaa ya kupokea chanjo

Na MARY WANGARI WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya...