• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Trump azindua blogu ya kuchapisha taarifa muhimu kutoka kwake

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika ALIYEKUWA Rais wa Amerika Donald Trump amezindua tovuti mpya ya mawasiliano ambayo itachapisha...

Trump sasa apanga kuzindua mtandao

Na AFP ALIYEKUWA rais wa Amerika Donald Trump ametangaza kuwa ataanzisha mtandao wake atakaotumia kuwasiliana na wafuasi wake baada ya...

Trump kuhutubia mkutano akilenga kuwania tena 2024

Na AFP WASHINGTON D.C., Amerika ALIYEKUWA rais wa Amerika Donald Trump, Jumapili atarejea katika siasa akitaka kuthibiti chama cha...

MWISHO WA GIZA!

NA WAANDISHI WETU RAIS anayeondoka wa Amerika Donald Trump ameingia katika historia ya Amerika kama rais pekee aliyepigiwa kura ya...

Kibarua cha kurejesha hadhi ya Amerika duniani chaanza

MASHIRIKA na SAMMY WAWERU Ni bayana Bw Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika, nchi yenye ushawishi mkubwa duniani, baada ya kuapishwa...

Trump aacha Amerika yenye aibu na ubaguzi

Na AFP JOE Biden ataapishwa saa chache kutoka sasa kuwa rais wa 46 wa Amerika kwenye sherehe ambayo Rais Donald Trump amesema...

Maafisa walaumiwa kwa kupendelea watu wa Trump

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika POLISI wamezidi kulaumiwa kwa kutotumia nguvu kuwakabili wafuasi wa Rais anayeondoka Donald...

Trump kwisha!

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika JUHUDI za mwisho za Rais Donald Trump wa Amerika kukatalia madarakani ziligonga mwamba...

Sonko aliiga Trump kuongoza

Na WANDERI KAMAU KWA muda aliohudumu akiwa Gavana wa Kaunti ya Nairobi kati ya 2017 na Alhamisi, Bw Mike Sonko alimuiga Rais wa Amerika...

Mshauri wa Trump kuhusu corona ajiuzulu

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C, Amerika MWANASAYANSI Dkt Scott Atlas, ambaye ni mshauri wake Rais Donald Trump aliyetofautiana na...

Trump sasa apuliza hapa aking’ata kule

Na MASHIRIKA WASHINGTON, Amerika RAIS wa Amerika, Donald Trump amekubali serikali yake imsaidie Rais Mteule Joe Biden kujiandaa...

Trump atemwa na mawakili wake katika kesi ya uchaguzi

Na MASHIRIKA MASAIBU ya Rais wa Amerika anayeondoka Donald Trump yameongezeka baada ya kutemwa na mawakili aliokodi kupinga matokeo ya...