• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

Polo ajifanya sonko kumbe kijijini ni hoi

YALA, Siaya Na JOHN MUTUKU SAMUEL KALAMENI eneo hili alibubujikwa na machozi na kujitupa miguuni mwa demu kumuomba asimteme lakini...

Polo akarabatia jirani kitanda kisilie

Na MWANDISHI WETU Kangemi, Nairobi  Jombi mtaani hapa ambaye ni seremala tajika aliamua kukarabati kitanda cha jirani yake bila...

DONDOO: Madugu wageuka mbwa na paka

Na Nicholas Cheruiyot Mwanasiasa limbukeni alivunjika moyo mpango wake wa kumhamisha nduguye kwake ili amuachie boma atumie kujipigia...

Demu afumaniwa akiroga wakwe

Na John Mutuku Samuel Kisa cha kushangaza kilitokea mtaani hapa, baada ya demu aliyezuru wazazi wa mumewe kufumaniwa usiku akirandaranda...

Mke afinya nyeti za polo wakizozana

Na Mwandishi Wetu KANGEMI, NAIROBI  JOMBI mmoja mtaani hapa anaendelea kuuguza majeraha kwenye nyeti zake baada ya kushambuliwa na...

Akana mke peupe kulinda wa pembeni

NA DENNIS SINYO JOMBI mmoja ambaye alikuwa akiheshimiwa na wenzake alishangaza watu alipomkana mkewe hadharani ili asimkasirishe mpango...

Demu ajuta kutema jamaa ‘msoto’

Na Mirriam Mutunga KATHWANA, THARAKA NITHI MWANADADA mmoja kutoka hapa alidondokwa na machozi mpenzi wake wa awali alipomuoa dada...

Wazomea pasta kudai fungu la kumi wakati wa corona

HURUMA, NAIROBI Na MWANDISHI WETU Pasta wa kanisa moja mtaani humu, aliwakasirisha waumini kwa kuwatangazia kuwa atafunga kanisa kwa...

Asema mume alifaa kufa badala ya mbwa

Na MASHIRIKA Frankfurt, Ujerumani MWANAMKE mmoja katika mji huu alishangaza jamaa na marafiki kwa kusema kuwa heri mumewe angekufa...

Auza suti ya polo apate hela za saluni

Na TOBBIE WEKESA KERICHO KIPUSA mtaani hapa aliwashangaza wengi alipoamua kuuza suti mpya ya mumewe ili apate fedha za kumwezesha...

Vimada wafyonza jasho la paparazzi

Na MWANDISHI WETU VOI MJINI Jamaa aliyekuwa paparazzi maarufu mjini humu anajuta kuuza simu na kamera yake kwa bei ya kutupa ili...

Polo mtafuna yaya afumaniwa na mke wakati wa corona

KAPKATET, KERICHO NA NICHOLAS CHERUIYOT ILIBIDI polo wa hapa akubali kwa haraka kufanya kazi za jikoni ili kuokoa ndoa yake baada ya...