• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Miradi ya handisheki yakimbizwa ikamilike

NA WAANDISHI WETU PUNDE tu baada ya handisheki kati ya Rais Uhuru Kenyata na mpinzani wake mkuu kwenye uchaguzi mkuu wa 2017, Raila...

LEONARD ONYANGO: Handisheki itakufa baada ya refarenda

Na LEONARD ONYANGO MVUTANO uliopo baina ya chama cha ODM na baadhi ya maafisa serikalini kuhusu Mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI), ni...

ODM yadai viongozi 4 wamedandia handisheki kujifaidi

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha ODM kinalaumu viongozi wa vyama vinne vya kisiasa wanaounga mageuzi ya katiba kwa kudandia handisheki ya...

Ndoa ya BBI yaingia doa

Na WAANDISHI WETU MVUTANO kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM Raila Odinga ulizidi kuchacha Jumatatu, hali iliyolazimisha...

Raila asema Ruto aliarifiwa kuhusu handisheki na Rais

Na SAMMY WAWERU Naibu wa Rais Bw William Ruto alifahamishwa kuhusu salamu za maridhiano (Handisheki) kati yangu na Rais Uhuru Kenyatta,...

ODM wajuta kuingia katika handisheki bila utaratibu

LEONARD ONYANGO na VALENTINE OBARA CHAMA cha ODM kimeonekana kujutia mkataba wa maelewano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa...

Handisheki ilivyoimairsha ukuaji wa uchumi Nyanza

Na RUTH MBULA ENEO la Nyanza limefaidika na miradi ya mabilioni ya fedha kutoka kwa serikali kuu ambayo imechochea uwezo wa kiuchumi...

Handisheki yageuza ‘Baba’ bubu

NA WAANDISHI WETU KIMYA kirefu cha Kiongozi wa ODM Raila Odinga kuhusiana na hatua za serikali zinazoenda kinyume na misimamo yake ya...

Ubaguzi wa wazi?

DERICK LUVEGA na BENSON AMADALA SERIKALI imekashifiwa kwa kuonekana kupendelea viongozi wa kisiasa wanaomuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta...

UhuRaila wakejeliwa kwa ‘kutakasa ufisadi’

NA MWANGI MUIRURI USHIRIKA wa Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga chini ya mwavuli wa handisheki umetajwa kama unaolemaza vita dhidi ya...

Handisheki bila matunda

Na WANDERI KAMAU MUAFAKA wa maelewano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM, Raila Odinga, maarufu kama handisheki haujazalisha...

Handsheki: Wakazi wajuta kurushia Uhuru kiatu 2014

Na IAN BYRON BAADHI ya wakazi katika Kaunti ya Migori wamejutia kisa ambapo Rais Uhuru Kenyatta alirushiwa kiatu jukwaani miaka sita...