• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

Harry Kane afikia rekodi ya Sergio Aguero kwa kunyanyua taji la Mchezaji Bora wa Mwezi wa EPL

Na MASHIRIKA FOWADI wa Tottenham Hotspur, Harry Kane, ametawazwa Mchezaji Bora wa Mwezi katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa mara ya...

Harry Kane aongoza Spurs kupepeta Crystal Palace katika gozi la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Antonio Conte wa Tottenham Hotspur amesema itakuwa “vigumu sana” kutomchezesha Harry Kane katika baadhi ya mechi...

Kane afunga mabao matatu na kuongoza Uingereza kuponda Albania

Na MASHIRIKA UINGEREZA sasa wanahitaji alama moja pekee kutokana na mchuano wa mwisho wa Kundi I dhidi ya San Marino ugenini mnamo...

Kane abeba Spurs hadi hatua ya makundi ya Europa Conference League

Na MASHIRIKA KOCHA Nuno Espirito Santo amesema Harry Kane amedhihirisha ukubwa wa kiwango cha kujitolea kwake kuwajibikia klabu yake ya...

Harry Kane haondoki Spurs – kocha Nuno Espirito

Na MASHIRIKA KOCHA mpya wa Tottenham Hotspur, Nuno Espirito Santo, amesisitiza kuwa mshambuliaji na nahodha Harry Kane “bado ni...

Uingereza waponda Ukraine na kujikatia tiketi ya kuvaana na Denmark kwenye nusu-fainali za Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA walionyesha mchezo wa hali juu katika ushindi wa 4-0 waliosajili dhidi Ukraine kwenye robo-fainali ya Euro mnamo...

Man-City yatoa ofa ya mwisho ya Sh15.6 bilioni kushawishi Harry Kane kutoka Spurs

Na MASHIRIKA MANCHESTER City wamewasilisha ofa ya mwisho ya Sh15.6 bilioni kumshawishi fowadi na nahodha Harry Kane kuagana na Tottenham...

Harry Kane ataka Spurs wamwachilie atafute hifadhi mpya kwingineko mwishoni mwa msimu huu

Na MASHIRIKA FOWADI na nahodha Harry Kane amewaelezea waajiri wake Tottenham Hotspur kuhusu nia yake ya kuagana rasmi na kikosi hicho...

Tottenham sasa guu moja ndani ya robo-fainali za Europa League baada ya kupepeta Dinamo Zagreb katika mkondo wa kwanza

Na MASHIRIKA FOWADI Harry Kane alifunga mabao mawili na kuwasaidia Tottenham Hotspur kupepeta Dinamo Zagreb ya Croatia 2-0 katika mkondo...

Bale na Kane waongoza Tottenham kuwateremkia Crystal Palace katika EPL

Na MASHIRIKA GARETH Bale na Harry Kane walifunga mabao mawili kila mmoja na kusaidia kikosi chao cha Tottenham Hotspur kuwapepeta...

Kane ashiba sifa za Mourinho baada ya kubeba Spurs dhidi ya West Brom kwenye EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba fowadi na nahodha Harry Kane sasa ataweza kuvunja kila rekodi kwenye soka ya Uingereza...

Kane kusalia nje kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la kifundo cha mguu dhidi ya Liverpool

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur, Harry Kane, sasa atasalia mkekani kwa kipindi kirefu baada ya kupata jeraha baya la...