Habari
Hivi Punde: Seneta wa Baringo William Cheptumo aaga dunia

Seneta wa Baringo William Cheptumo. Picha|Hisani
SENETA wa Baringo William Cheptumo ameaga dunia, Spika wa Seneti Amason Kingi amethibitisha.
Seneta huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 57.
Habari zaidi ni kadiri tunavyozipokea…