• Nairobi
  • Last Updated October 2nd, 2023 11:00 AM

Pigo zaidi kwa Leicester baada ya Jamie Vardy pia kupata jeraha

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI matata wa Leicester City, Jamie Vardy anatarajiwa kusalia mkekani kwa takriban mwezi mmoja baada ya kupata...

Kocha Brendan Rodgers amtunuka sifa fowadi Jamie Vardy

Na MASHIRIKA KOCHA Brendan Rodgers alikuwa mwingi wa sifa kwa fowadi Jamie Vardy aliyeongoza waajiri wake kucharaza Wolves 1-0 katika...

Vardy sasa ni mmiliki wa klabu ya soka baada ya kununua hisa za kikosi cha Rochester Rhinos nchini Amerika

Na MASHIRIKA FOWADI mahiri wa Leicester City, Jamie Vardy, ameingia katika orodha ya wamiliki wa klabu za soka baada ya kununua...

Leicester kukosa huduma za Vardy na Maddison kwenye mechi ya Kombe la FA dhidi ya Stoke City

Na MASHIRIKA LEICESTER City watakosa huduma za fowadi Jamie Vardy na kiungo James Maddison katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la FA...

Leicester wafundisha Spurs kusakata soka ya EPL kwa kuipokeza kichapo cha 2-0

Na MASHIRIKA KOCHA Brendan Rodgers wa Leicester City amesisitiza kwamba wanasoka wake “hawatajinaki kupita kiasi na kujisahaulisha...

Vardy na Maddison wabeba Leicester City hadi tatu-bora EPL

Na MASHIRIKA JAMES Maddison, 24, alifunga mabao mawili na kusaidia Leicester City kupepeta Brighton 3-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya...

Jamie Vardy afungia Leicester katika dakika ya mwisho na kurefusha mkia wa Sheffield United kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Chris Wilder wa Sheffield United amesema mashabiki wa kikosi chake wana kila sababu ya kuvaliwa na hofu baada ya...

Jamie Vardy aibuka mfungaji bora mkongwe zaidi katika EPL

Na CHRIS ADUNGO MSHAMBULIAJI wa Leicester City, Jamie Vardy aliweka rekodi ya kuwa mwanasoka mkongwe zaidi kuwahi kutwaa taji la...

Vardy afikisha mabao 100 katika soka ya EPL

Na CHRIS ADUNGO JAMIE Vardy alifunga bao lake la 100 na 101 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na kuwezesha Leicester City kuwapepeta...

Ishara mfungaji bora EPL kuamuliwa siku ya mwisho msimu huu

Na CHRIS ADUNGO VITA vya kuwania taji mfungaji bora katika soka ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu wa 2019-20 vinatarajiwa kuwa...