• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Kibwana na Muthama wazika tofauti zao

BENSON MATHEKA na PIUS MAUNDU GAVANA wa Makueni Kivutha Kibwana na aliyekuwa seneta wa Machakos Johnson Muthama wamezika tofauti zao na...

Kalonzo na Kibwana wapapurana

Na PIUS MAUNDU UADUI kati ya Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Makueni, Profesa Kivutha Kilonzo ulitokota zaidi wikendi...

Kibwana akana madai ya kufanyia kazi Tangatanga

Na PIUS MAUNDU GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana amepuuzilia mbali madai ya baadhi ya wandani wa kinara wa chama cha, Bw Wiper...

Mudavadi anyemelea Kibwana kuhusu 2022

Na WANDERI KAMAU na PIUS MAUNDU KIONGOZI wa chama cha ANC, Bw Musalia Mudavadi ameashiria kuwa huenda akaungana na Gavana wa Makueni...

Kibwana asifu madiwani wa Wiper waliompuuza Kalonzo

NA PIUS MAUNDU GAVANA wa Makueni, Prof Kivutha Kibwana, Jumatatu alizidisha uhasama wa kisiasa kati yake na Kinara wa Wiper, Kalonzo...

Wiper yaanza mbinu za kumwadhibu Kibwana

Na PIUS MAUNDU KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, amevunja ushirikiano wa chama chake na kile cha Muungano katika hatua ya...

Zogo la Kibwana, Muthama kuhusu Kalonzo lafufuka

Na PIUS MAUNDU na GASTONE VALUSI MZOZO kati ya Gavana wa Makueni, Kivutha Kibwana na kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka umechipuka tena...

TAHARIRI: Ni wazi hatua za ugatuzi bado hafifu

NA MHARIRI KONGAMANO la siku tatu la Ugatuzi lilimalizika katika Kaunti ya Kirinyaga Alhamisi huku mambo kadha wa kadha yakijitokeza....

Prof Kibwana atakiwa kuomba msamaha kwa kumkejeli Kalonzo

Na STEPHEN MUTHINI GAVANA wa Kaunti ya Makueni, Prof Kivutha Kibwana, ameambiwa aombe msamaha kwa kumkosoa Kiongozi wa Chama cha Wiper,...

Ushirikiano wa Kalonzo na Uhuru hauwasaidii Wakamba – Prof Kibwana

NA PIUS MAUNDU MWENYEKITI wa chama cha Wiper Prof Kivutha Kibwana kwa mara nyingine amejitokeza kumshtumu vikali kiongozi wa chama hicho...

Huyu ndiye kiongozi anayenuia kumrithi Prof Kivutha Kibwana

Na Pius Maundu NAIBU Gavana wa Makueni Adelina Mwau ametangaza kuwa ana azma ya kugombea ugavana kwenye uchaguzi mkuu wa 2022, Gavana...

Hatimaye Mutua akubali kushirikiana na Ngilu na Prof Kibwana

CHARLES WASONGA na STEPHEN MUTHINI GAVANA wa Machakos, Dkt Alfred Mutua Ijumaa alikutana na wenzake, Prof Kivutha Kibwana (Makueni) na...