• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

KINA CHA FIKIRA: Elimu bila nasaha kwa wanafunzi ni bomu angamizi

Na WALLAH BIN WALLAH BAADA ya udadisi wangu kutokana na tajriba ya miaka mingi katika taaluma ya ualimu kwa wasomi wa viwango mbalimbali...

KINA CHA FIKIRA: Ujeuri wa mpapai hujeruhi na udhalili wa unyasi huokoa

Na WALLAH BIN WALLAH KILA mwanadamu ana hulka au tabia tofauti. Wapo wenye tabia za upole, unyenyekevu na heshima. Pia wapo wenye...

KINA CHA FIKIRA: Asilan usimchape na kumtesa punda akubebeaye mizigo

Na WALLAH BIN WALLAH WAJIBU wa wanadamu ni kufaana na kusaidiana katika kuishi. Unifae nikufae; unisaidie nikusaidie. Huo ndio utu...

KINA CHA FIKIRA: Wakati ni sasa, tumia leo kutengeneza kesho yako

Na WALLAH BIN WALLAH SAFARI ya kesho hupangwa leo. Usipoipanga safari ya kesho leo, kesho itakapofika, safari yenyewe itakupangua! Ni...

KINA CHA FIKIRA: Kiswahili kitukuzwe kwa vitendo badala ya maneno matupu

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA kitabu maarufu cha riwaya kiitwacho Nyota Ya Rehema alichokiandika mwanafasihi mahiri wa Zanzibar, Bwana...

KINA CHA FIKIRA: Epuka kujipaka uchafu ndipo nzi wasikusumbue

Na WALLAH BIN WALLAH BABU yangu Mzee Majuto bin Kengemeka aliniambia zamani nilipokuwa kijana mchanga kwamba watu humchukia nzi -mdudu...

KINA CHA FIKIRA: Wazazi watie bidii kuwalinda watoto wao sasa

Na WALLAH BIN WALLAH WAKATI umewadia tena wa kuzifunga shule nchini kote ili wanafunzi waende likizoni japo kwa siku chache wakakae na...

KINA CHA FIKIRA: Punguza mizigo mizito inayoweza kukuweka pabaya katika maisha

Na WALLAH BIN WALLAH WATU wenye busara na hekima walisema kwamba huwezi kuukwea mti mrefu kuenda kileleni ukiwa umebeba mizigo mizito...

KINA CHA FIKIRA: Uzuri na ubaya wa mtu umo ndani ya mtu mwenyewe!

Na WALLAH BIN WALLAH SIFA za upole na ujeuri zimefichamana ndani ya mtu! Hazionekani mpaka zichokorwe na kuchokozwa ndipo zilipuke...

KINA CHA FIKIRA: Ukijiamini kwa lolote utafanikiwa hivyo hivyo ulivyo

Na WALLAH BIN WALLAH MAFANIKIO hupatikana kwa bidii pamoja na jinsi mtu anavyojiamini katika shughuli au kazi anazofanya...

KINA CHA FIKIRA: Jifunge masombo utafute mali yako ufurahie maisha

Na WALLAH BIN WALLAH BIDII za mtu ndiyo mafanikio yake. Mwenyezi Mungu akikujalia uhai na uzima, uwezo na nguvu, akili na maarifa,...

KAULI YA WALLAH: Jogoo mwoga aghalabu huwa ndiye mfalme

NA WALLAH BIN WALLAH WAHENGA walisema kwa mwoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio. Ukweli ni kwamba waoga hufa mara nyingi sana...