• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:13 PM

Maneno suka, shuka na zuka yana baidi kubwa kimaana

NA ENOCK NYARIKI NENO linaweza kuwa sahihi kisarufi ila linapokosewa katika matamshi, hupotosha maana iliyokusudiwa. Yapo maneno mengine...

Dhana na dhima ya malipo mbalimbali katika jamii

NA MARY WANGARI WANAJAMII huhitaji bidhaa na huduma mbalimbali ili kuwawezesha kufanikisha mambo, ukidhi haja na kuendeleza shughuli za...

Bunge kuzindua kanuni zake katika Kiswahili leo

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linatarajiwa kupiga hatua muhimu katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kuendeshea shughuli zake kwa...

CHAKICACA: Chama imara kuhusu makuzi ya Kiswahili shuleni Carmelvale Catholic

Na CHRIS ADUNGO TANGU kuasisiwa kwa Chama cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Carmelvale Catholic (CHAKICACA), Nairobi mnamo 2015,...

Uchambuzi wa Kitabu ‘Mbio Kuhimiza Umoja wa Afrika’

Waandishi: Ursula Wafula na Brian Wambi Mchapishaji: African Storybooks Initiative Mhakiki: Wanderi Kamau Kitabu: Novela ya...

GWIJI WA WIKI: Nyota ya Almasi yazidi kung’aa

Na CHRIS ADUNGO ALMASI Ndangili ni miongoni mwa vijana wachache wa kupigiwa mfano kutokana na mafanikio yao kitaaluma na jinsi...

Hawa ndio matapeli wa Kiswahili waliomkera Abdalla Mwasimba

NA BITUGI MATUNDURA USIKU wa kuamkia siku ya Jumatano Julai 29, 2020 tasnia ya Kiswahili – hasa taaluma ya utunzi na ughani wa...

Haihalisi kutumia neno ‘fuatia’ kwa maana ya chanzo cha jambo fulani

NA ENOCK NYARIKI Baadhi ya watu hulitumia neno ‘fuatia’kwa maana ya chanzo au asili ya jambo fulani kama vile ugomvi, kisa, mkasa,...

GWIJI WA WIKI: Jack Otiya, mwandishi chipukizi na mwalimu wa Kiswahili

Na CHRIS ADUNGO KIZURI unachokifikiria ndicho utakachokipata. Fuata mkondo wa fikira zako! Jipende, kipende unachokifanya na namna...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama ya kistari kifupi, ritifaa na nuktakatishi katika uakifishaji

Na MARY WANGARI HUTUMIKA kama alama ya hisabati na kisayansi kuonyesha tarakimu au kiwango cha chini ya sufuri 0. Kwa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama ya kistari kifupi, ritifaa na nuktakatishi katika uakifishaji

Na MARY WANGARI TUMEKUWA tukichambua na kujifahamisha kuhusu alama mbalimbali za uakifishaji na matumizi yake sahihi katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kituo cha kistari kirefu, deshi (-) katika uakifishaji

Na MARY WANGARI KATIKA makala ya leo, tutaendelea kujifahamisha kuhusu kituo cha deshi katika uakifishaji na jinsi matumizi yake sahihi...