• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Bwawa hatari kwa wakazi Nyeri

Na SAMMY WAWERU Barabara inayounganisha mji wa Nyeri na Karatina ni yenye shughuli chungu nzima za usafiri na uchukuzi, ikizingatiwa...

Mifereji na mabwawa kujengwa Garissa kutatua tatizo la mafuriko

Na FARHIYA HUSSEIN MIFEREJI na mabwawa yatajengwa katika Kaunti ya Garissa kama hatua ya kukabiliana na tatizo la mafuriko katika eneo...

Waziri Eugene asema serikali itajenga mabwawa madogo kwa gharama nafuu

Na SAMMY WAWERU ILIPOCHUKUA hatamu za uongozi mwaka 2013 serikali ya Jubilee iliahidi kufanya miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila...

Dhamana ya Sh30m kwa Rotich na Thugge au Sh100m pesa taslimu

SAM KIPLAGAT Na BENSON MATHEKA WAZIRI wa Fedha, Henry Rotich na Katibu wa wizara hiyo Kamau Thugge, Jumanne waliachiliwa kwa dhamana ya...

UFISADI: Rotich atumbukia bwawani

Na VALENTINE OBARA SAKATA ya mabwawa ya Arror na Kimwarer katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet, Jumatatu ilimtumbukiza Waziri wa Fedha,...

SAKATA YA MABWAWA: Mbadi awataka Ruto na Murkomen kujiuzulu

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa John Mbadi sasa anamtaka Naibu Rais William Ruto kujiuzulu mara moja...

Vitimbi vya ‘Kamata Kamata’ vyarudi Rotich akibambwa

Na WAANDISHI WETU IDARA ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) Jumatatu ilirejelea shughuli zake za kukamata washukiwa wa ufisadi, almaarufu kama...

JUHUDI: Mkulima asema kukiwa na utaratibu mzuri, ni rahisi kujenga mabwawa

NA SAMMY WAWERU SERIKALI ya Jubilee ilipochukua hatamu 2013 chini ya kinara Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake Dkt Willima Ruto, iliingia...

Barclays yaamriwa ilipe serikali magari iliyonunulia kampuni za kujenga mabwawa

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Jumatatu iliiamuru Benki ya Barclays ikabidhi afisi ya Mkurugenzi wa Jinai (DCI) magari iliyonunulia...

Mudavadi adai mabwawa ni njama ya uporaji

 WACHIRA MWANGI Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ANC, Musalia Mudavadi amedai kwamba miradi ya ujenzi wa mabwawa 57 ni mbinu ya...

Kihara awajibu wandani wa Ruto

Na CHARLES WASONGA MKUU wa Sheria Paul Kihara Kariuki amekana madai ya baadhi ya wanasiasa kuwa vita dhidi ya ufisadi vinaendelezwa kwa...

Gavana aomba Rais msamaha kwa niaba ya wabunge

Na JEREMIAH KIPLANGAT GAVANA wa Elgeyo Marakwet Alex Tolgos jana aliwapuuzilia mbali viongozi wa Rift Valley ambao wamemshambulia Rais...