Mahakama yakataa ombi la Waititu kutaka Nyoro asiapishwe
Na RICHARD MUNGUTI
MAHAKAMA Kuu imekataa kusitisha hafla ya kumwapisha James Nyoro kuwa Gavana mpya wa Kaunti ya Kiambu.
Jaji Weldon Korir amesema shughuli ya kumwapisha Nyoro ni suala la mahakama na kamwe hawezi kusitisha.
Aliyekuwa Gavana Ferdinand Waititu Babayao alikuwa amewasilisha kesi akitaka Nyoro asiapishwe.
Tunaandaa habari kamili