• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:15 PM

Wamuua kaka yao wakipigania mahari ya dada

Na Titus Ominde FURAHA ya kupokea pesa za mahari katika familia moja katika kijiji cha Cheplachabei, Kaunti Ndogo ya Soy iliyo Kaunti ya...

Nilitoroka na mahari ya baba ili asioe mchumba wangu, kijana asimulia

Na STEPHEN ODUOR MVULANA wa miaka 17 katika Kaunti ya Tana River, aliyetorosha mahari iliyokusudiwa kutumiwa na babake kuoa mke wa nne,...

Familia yateta chifu kuagiza warudishe mahari

Na MAUREEN ONGALA FAMILIA katika kijiji cha Muhoni, eneobunge la Ganze imemkashifu chifu wa eneo hilo kwa kuwaagiza kurudisha mahari ya...

MILA NA DESTURI: Utoaji mahari na ndoa katika jamii ya Wasomali

Na FARHIYA HUSSEIN [email protected] ILIKUWA fahari kubwa Taifa Leo kupata kupata fursa ya kujumuika na jamii ya Wasomali...

Alazimika kutoa punda kama mahari

Na John Musyoki SIAKAGO, Embu JAMAA mmoja alilazimika kuwapa wakwe zake punda wawili ili kupunguza deni la kulipa...

Gavana ataka mahari sawa kwa mabinti waliosoma na wasiosoma

Na ALEX NJERU GAVANA wa Tharaka-Nithi Muthomi Njuki amependekeza kwamba Baraza la Wazee wa Njuri Ncheke lipitishe uamuzi utakaofanya...

Kamwe hatuwezi kutoza ushuru kwa mahari – KRA

Na MARY WANGARI MAMKALA ya Kukusanya Ushuru (KRA)  imelazimika kukanusha madai kwamba ilikuwa na mipango ya kuanza kutoza ushuru kwa...

Warudi na mahari kwa kukosa ugali

Na TOBBIE WEKESA KOYONZO, VIHIGA KIOJA kilizuka kijijini hapa baada ya wazee kuamua kurudi nyumbani na mahari waliyokuwa wameleta,...

Wazee sasa kuweka viwango vya mahari

Na CHARLES WANYORO BARAZA la Wazee wa Jamii ya Ameru la Njuri Ncheke limetangaza mipango ya kusawazisha mahari yanayotolewa kwa familia...

Demu pabaya kujilipia mahari

Na Leah Makena MAGOGONI, THIKA Kidosho wa hapa alikaripiwa na wazee kwa kuchukua mkopo kusaidia mumewe kulipa mahari. Duru zasema...

Gharama ya juu ya mahari inavyozimia vijana ndoto ya ndoa

Na MWANGI MUIRURI IKIWA kuna safu moja ya kimaisha ambayo inawalemea kuwapa imani na ndoa vijana wengi katika jamii, ni...

Wakataa kutoa mahari hadi binti aolewe na kuzaa

SABATIA, VIHIGA Kizaazaa kilizuka eneo hili baada ya mashemeji watarajiwa kuwatawanya wazee waliokuwa wakijadili harusi ya kijana wao...