• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 11:55 AM

SHAIRI: Msichana ni muhimu, heri kumsaidia

NA ASSUMPTA WAUSI Dunia maji ya ndimu, ni chungu wewe sikia Siteti si soga humu, nasema huu wosia Dunia kama hakimu, uzimlika...

SHAIRI: Kaozwa mapema bila ujuzi

NA ASSUMPTA WAUSI Niketipo nina haya ,yanisakama maizi Kaozwa pasi na haya ,mtoto bila ujuzi Ilikuwa ja ruiya ,kakatiziwa...

SHAIRI: Korona kufuli nzito

NA LEVIS TUNJE Jina ninaitwa Ndoro,  nimekwama chuoni Moi. Masomo yanakasoro,  Korona yanacha hoi. Virusi ni minyororo, ...

SHAIRI: Ndoto yangu yazimika

Na Sylvester Kibet Kiplagat  Msinidhulumu nina haki, Msinidunishe kwa kuwa msichana, Nina haki ya kupata elimu kama...

SHAIRI: Ubakaji kama makaa

NA ASSUMPTA WAUSI Kungwi ninayo barua, maisha kisulisuli Nicheze yangu gitaa, ujumbe ufike mbali Wifi ,halati bavyaa, mtambue...

SHAIRI: Msirarue maisha yangu

Nanena nisikike, Nitambulike nipewe haki yangu, Hadhi yangu nipate, Heshima zangu nipokee.   Elimu kamwe...

Hawa ndio matapeli wa Kiswahili waliomkera Abdalla Mwasimba

NA BITUGI MATUNDURA USIKU wa kuamkia siku ya Jumatano Julai 29, 2020 tasnia ya Kiswahili – hasa taaluma ya utunzi na ughani wa...

COVID-19: Msichana, 12, amtungia mama ambaye ni muuguzi shairi kumpongeza kwa kazi nzuri

Na PHYLLIS MUSASIA MWANAFUNZI Ida Kibet, 12, alizoea kumkaribisha mamake nyumbani kwa kumkumbatia akitoka kazini, lakini janga la...

BURIANI WALIBORA: Washairi watumia ubunifu wao kumwomboleza ‘Shakespeare’ wa Kiswahili

BURIANI PROFESA Weye kweli ni shujaa, ninasema duniani Kifo chako meduwaa, kusikia redioni Mafunzoyo yatang'aa, daima...

SHAIRI: Corona janga hatari, limetunyima raha

  Kila mbwa ana siku, kauli ya wahenga, Kwamba corona janga, ni pigo la Rabana, Moshi wa huzuni, umeilemaza dunia, Hatuna...

MASHAIRI: TUWE ANGE

TUWE ANGE Sichoki kuambieni, jambo jema la fanaka Nyote mjiandaeni,yafao kuajibika Msingoje maishani, kujua ya kuepuka Sisi...

MSHAIRI WETU: Jesse Chege Mwangi almaarufu ‘Malenga Mzalendo’

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI ni utungo unaoelezea hisia za ndani za msanii kutegemea mazingira yake. Ni utanzu ambao haujachapukiwa sana...