• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:26 PM

Pigo kwa ushairi mlumbi maarufu Shamte akifariki

MISHI GONGO na HASSAN MUCHAI ULIMWENGU wa ushairi unaomboleza kifo cha mshairi mkongwe Abdallah Ali Shamte (pichani kushoto),...

MSHAIRI WETU: Joshua Anyona almaarufu ‘Malenga Shupavu’

Na CHRIS ADUNGO USHAIRI ndiyo njia nyepesi zaidi ya kuwasilisha ujumbe kuhusu masuala yanayomzunguka mwanadamu na maisha...

SARATANI WATUTAKIANI?

NA NEHEMIAH OMUKONYA Ninaandika, chozi likinidondoka, Nahuzunika, wapendwa tukiwazika, Hapa nataka, 'jua tutavyoepuka, Saratani! Tukupe...

SOKOMOKO: Kila la heri wenzangu

MKUSANYIKO wa mashairi Jumamosi, Aprili 6, 2019. Kila heri wenzangu Elimu ndiyo maisha, kwetu sisi wanadamu,Elimu huburudisha, akikufunza...

SOKOMOKO: Penzi lianzapo kufa

KWANZA mawasiliano, kasi yake hupunguwa, Hayawi masemezano, ja mwanzo yalivyokuwa, Hata soga na vigano, hukoma pasi kujuwa, Penzi...

SHAIRI: Ukapera siachi, muhibu sipati

Na FELIX GATUMO NAAMUA kwa hiari, kutoasi ukapera, Mahaba kwangu kwaheri, sitaki tena hasara, Akili yameathiri, yamenifyonza...

SHAIRI: Ukihitaji habari, tafuta Taifa Leo

Na KULEI SEREM Gazeti la  Kiswahili, halina mapendeleo, Nazungumzia lili, hili la  TAIFA LEO, Gazeti lenye ukweli, wa habari...

SHAIRI: Athari za vileo na mihadarati

Na KULEI SEREM Koti langu ninavua, ili nipate kunena, Mwili wangu unaloa, japo mie sijanona, Ulimi wanichochea, nina neno kwa...

SHAIRI: Ushairi tujifunze, tupate kuumaizi

Na KULEI SEREM Istilahi za shairi, zimepangwa kwa mpororo,  Mishororo ni mistari, kama kamba na nyororo, Wengi wanatahadhari, ila ni...