• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

MARY WANGARI: Mauaji ya Tirop ni uhalisia mchungu wa janga la dhuluma

Na MARY WANGARI WINGU la majonzi liligubika Kenya wikendi wakati nyota mchanga wa Olimpiki, Agnes Tirop, alipopumzishwa nyumbani kwao...

Shinikizo Uingereza ichunguze mwanajeshi anayehusishwa na mauaji

Na MARY WAMBUI SERIKALI ya Uingereza imeshinikizwa kufanya uchunguzi wa ndani na kumshtaki mwanajeshi wake, anayetuhumiwa kumuua...

Familia ya Masten Wanjala yamkana, mwili wasalia mochari

Na BRIAN OJAMAA MWILI wa Masten Wanjala, mwanamume aliyekamatwa kwa mauaji ya watoto, bado uko katika mochari ya Hospitali ya Rufaa ya...

Washukiwa kusalia seli siku 10

WYCLIFFE NYABERI na CHARLES WASONGA WANAUME wanne wanaoshukiwa kuwateketeza wanawake wakongwe kwa tuhuma za uchawi eneo la Marani,...

Mkenya azuiliwa Uhispania kwa kugeuka mla watu

Na Hilary Kimuyu POLISI katika mji wa Uhispania wa Seville wanamzuilia mwanamke Mkenya anayedaiwa kuuma na kula vidole viwili vya...

Mmoja auawa kwenye mzozo kuhusu vijana wawili

Na GEORGE MUNENE Mtu mmoja ameuawa  kwa risasi huku taharuki ikizidi kutanda mjini Kianjokoma, Kaunti ya Embu kufuatia mauaji ya vijana...

Simulizi ya mama yashtua mahakama

Na GEORGE MUNENE Mama mmoja jana alisimulia mahakamani jinsi alivyopata chooni mifupa ya mwanawe na mjukuu wake ambao walikuwa...

Rais wa Haiti auawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake

Na AFP PORT-AU-PRINCE, Haiti WATU wasiojulikana Jumatano waliingia katika makazi ya Rais Jovenel Moise wa Haiti na kumpiga risasi,...

Hofu bwanyenye mwingine mashuhuri akiuawa

Na JOHN NJOROGE UTATA unaendelea kuzingira kifo cha mfanyabiashara na mkurugenzi wa kampuni moja ya maua, Justus Metho Muinde katika...

Nani huyo kawanyonga?

STANLEY NGOTHO NA SIMON CIURI MIILI ya watatu kati ya wanaume wanne waliotoweka mjini Kitengela, Kaunti ya Kajiado mnamo Aprili 19,...

Mwanachuo akana kuua familia yake

SIMON CIURI na MERCY MWENDE MWANAFUNZI wa chuo kikuu, Lawrence Warunge, aliyehusishwa na mauaji ya familia yake ya watu wanne na mjakazi...

Sokomoko mpya Amerika raia mwingine mweusi akiuawa

NA MASHIRIKA MAANDAMANO makubwa jana yalizuka viungani mwa jiji la Mineapolis, Amerika baada ya polisi kumpiga risasi raia mweusi karibu...