• Nairobi
  • Last Updated June 7th, 2023 7:53 AM

Bondia Ajowi kutetea hadhi ya Hit Squad

GEOFFREY ANENE na CHARLES ONGADI Mabondia Elly Ajowi, Martin Oduor na Joseph Shigali wanatumai kutetea hadhi ya Kenya kwenye Ndondi za...

City Stars, Homeboys na Bandari zawika ligi ikianza kushika kasi

Na CECIL ODONGO Nairobi City Stars, Kakamega Homeboyz na Bandari zimechukua uongozi wa mapema wa msimu, Ligi Kuu nchini baada ya kutwaa...

Real Sociedad watua kileleni mwa jedwali la Liga baada ya kutoka sare na Atletico

Na MASHIRIKA REAL Sociedad walirejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) licha ya mabao mawili waliyofungwa na...

PSG na Marseille waumiza nyasi bure katika Ligi Kuu ya Ufaransa

Na MASHIRIKA OLYMPIQUE Marseille na Paris Saint-Germain (PSG) waliambulia sare tasa katika mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1)...

Dybala aokoa Juventus kinywani mwa Inter Milan katika gozi la Serie A

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI Paulo Dybala alitokea benchi katika kipindi cha pili na kufunga penalti iliyowazolea waajiri wake Juventus...

Barcelona na Boca Juniors kupimana ubabe kwenye kipute kipya cha Maradona Cup

Na MASHIRIKA BARCELONA watamenyana na Boca Juniors katika mchuano wa mkondo mmoja wa kirafiki ili kuadhimisha mwaka mmoja tangu kufariki...

Alaba afunga bao na kusaidia Real Madrid kunyanyasa Barcelona kwenye El Clasico

Na MASHIRIKA REAL Madrid walipiga Barcelona 2-1 katika gozi kali la El Clasico lililowakutanisha uwanjani Camp Nou mnamo...

Tielemans na Maddison wasaidia Leicester kuzamisha chombo cha Brentford ligini

Na MASHIRIKA KIUNGO James Maddison alicheka na nyavu za wapinzani kwa mara ya kwanza tangu Februari mwaka huu na kusaidia Leicester City...

Liverpool wadhalilisha Man-United kwenye EPL ugani Old Trafford

Na MASHIRIKA KOCHA Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United amesema hawezi kutamauka sasa katika safari ya kudhibiti mikoba ya waajiri...

Mashabiki waruhusiwa kuingia viwanja vya Kenya kwa mara ya kwanza tangu Machi 2020

Na VICTOR OTIENO WAPENZI wa michezo sasa wanaweza kuingia viwanjani kushangilia timu zao baada ya serikali kutangaza kuwa imeondoa...

Pigo kwa waandalizi wa Michezo ya Shule baada ya Rais Uhuru Kenyatta kupiga marufuku shughuli zote zisizo za kiakademia shuleni kwa siku 90

Na BRIAN YONGA WAANDALIZI wa michezo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari humu nchini wamepata pigo baada ya Rais Uhuru...

Ni muhimu watoto kuruhusiwa kushiriki michezo

Na MISHI GONGO MICHEZO ni kiungo muhimu katika ukuaji na uimarikaji wa mtoto katika nyanja mbalimbali. Michezo huchangia katika...