• Nairobi
  • Last Updated February 28th, 2024 8:55 PM

CECIL ODONGO: Ruto, Moi wasihadae wahanga wa Mau wakijitafutia kura za uchaguzi ujao

Na CECIL ODONGO INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa...

Mjukuu wa Moi akubali watoto aliokana awali

Na JOSEPH OPENDA MJUKUU wa aliyekuwa rais, Mzee Daniel Moi hatimaye amekubali kuwajibikia malezi ya watoto wawili anaoshutumiwa...

Mjukuu wa Moi asusia DNA, hatarini kushtakiwa

Na JOSEPH OPENDA MJUKUU wake Rais (mstaafu) Marehemu Daniel arap Moi, anayeandamwa na kesi ya malezi ya watoto kutoka kwa aliyekuwa...

‘Kilio cha wanafunzi chuoni Moi kitafutiwe suluhu’

Na LYDIA OMAYA MALALAMISHI ya njaa miongoni mwa wanafunzi katika vyuo vikuu humu nchini yamezidi hawa katika Chuo Kikuu cha...

Wito serikali ibuni sera ya kuruhusu ndege kupaa na kutua uwanja wa Moi bila vikwazo

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya utalii wametoa wito kwa serikali ikubali sera inayoruhusu ndege kutua na kupaa katika uwanja...

Gideon ahimizwa aanzishe ushirika na jamii ya Luhya

SHABAN MAKOKHA na CHARLES WASONGA BAADHI ya wabunge kutoka jamii ya Abaluhya, sasa wanamtaka Seneta wa Baringo Gideon Moi kubuni...

Rungu la Moi sasa launganisha ‘vitoto vya kifalme’ nchini

Na BENSON MATHEKA KUTEULIWA kwa Seneta wa Baringo, Gedion Moi kumrithi kisiasa baba yake Daniel Moi, na kauli ya ndugu yake Raymond...

Rais Mstaafu Daniel Arap Moi azikwa nyumbani Kabarak

Na SAMMY WAWERU MIAKA 42 iliyopita, taifa lilimpoteza Rais Mwanzilishi wa Jamhuri ya Kenya ndiye Mzee Jomo Kenyatta. Rais huyo wa...

Ndege iliyobeba mwili wa Rais Mstaafu Moi yawasili Kabarak

Na SAMMY WAWERU MWILI wa Rais wa pili wa Jamhuri ya Kenya Daniel Toroitich Arap Moi umesafirishwa kwa ndege ya kijeshi kutoka Nairobi...

KINA CHA FIKIRA: Kiswahili kilipata utanuzi mkubwa mno katika enzi ya Moi, makiwa kwa wote

Na KEN WALIBORA HUU si wakati mzuri wa kufa. Hili halitokani na hatua alizopiga mwanadamu katika kuboresha miundumbinu na teknolojia...

Moi alivyodumisha Uafrika

Na WANDERI KAMAU KATIKA utawala wake, Rais Mstaafu Daniel Moi alithamini sana kauli zilizomjenga Mtu Mweusi na utamaduni wa...

Wakenya wamiminika uwanjani Nyayo kwa ibada maalumu kumuenzi Moi

Na PATRICK LANGAT WAKENYA na waombolezaji wengine wamemiminika katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo kwa ibada maalum kumuenzi Rais Mstaafu...