• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 2:08 PM

Moi Dei kuadhimishwa

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba siku ya Alhamisi, Oktoba 10, 2019, ni Sikukuu ya Kitaifa kuadhimisha Moi Dei. Kwenye taarifa...

Mwalimu Thomas Wasonga alivyomchangamsha Moi kwa utunzi wa nyimbo

Na WANDERI KAMAU KABLA ya kufutiliwa mbali na katiba ya sasa mnamo 2010, Sikukuu ya Moi ilikuwa ya kipekee kwa uongozi wa Rais Mstaafu...

MOI DEI: Mbinu alizotumia Mzee Moi kuteka hisia za Wakenya

Na CHARLES WASONGA KATIKA miaka 24 akiwa mamlakani Rais Mstaafu Daniel Arap Moi alikuwa akisikika na kila Mkenya kwa sababu habari zake...

MOI DEI: Baada ya miaka 24, Moi aliomba Wakenya msamaha

Na PETER MBURU KUREJEA kwa sikukuu ya Moi Dei baada ya kufutiliwa wakati katiba mpya ya 2010 ilipoidhinishwa kunaleta tena kumbukumbu za...

MOI DEI: Rungu ya Nyayo ilipoanguka na kuvunjika

NA WYCLIFFE MUIA RAIS mstaafu Daniel arap Moi, na mtangulizi wake Mzee Jomo Kenyatta, walikuwa na vifaa maalum vya kuonyesha mamlaka...

TAHARIRI: Sikukuu ziwe zenye manufaa kwa taifa

NA MHARIRI WAKENYA wengi Oktoba 10, 2018 wameamka wakiwa hawana mipango ya kwenda kazini, baada ya Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred...

MOI DEI YA MAUTI: Watu 55 waangamia ajalini

NA PETER MBURU JUMLA ya watu 55 walithibitishwa kufa, wakati basi walilokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali mbaya, eneo la Tunnel,...

OKTOBA 10: Wakili aelezea jinsi ya kusherehekea Moi Dei

Na PAULINE ONGAJI IWAPO unapanga kukutana na marafiki kwa kinywaji huku ukijiandaa baadaye kujinyosha kwenye blanketi na kufurahia...