• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Moi alikataa niwe Rais

MARY WANGARI na BENSON MATHEKA NAIBU Rais, Dkt William Ruto, hatimaye amefichua kuwa uhusiano wake na aliyekuwa mlezi wake wa kisiasa,...

Dkt Ruto ashauri maombolezo na mazishi ya Moi yasiingizwe siasa chafu

Na SAMMY WAWERU NAIBU Rais Dkt William Ruto amesema safari ya kumpumzisha Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi inafaa iwe tulivu na...

Rais Mstaafu Moi anazidi kukumbukwa kwa mengi aliyotenda

Na LAWRENCE ONGARO RAIS mstaafu Daniel Arap Moi atakumbukwa kwa kuridhia hatua muhimu ya mchakato wa urejeshwaji wa mfumo wa vyama vingi...

Serikali yatangaza Jumanne siku ya mapumziko Wakenya waomboleze Moi, mazishi kufanyika kesho yake

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imetangaza Jumanne, Februari 11, 2020, kuwa siku ya mapumziko kuwapa Wakenya nafasi kuomboleza Rais Mstaafu...

ONGARO: Yapo mengi atakayokumbukwa nayo Moi

Na LAWRENCE ONGARO RAIS mstaafu Daniel Arap Moi aliyefariki Jumanne katika Nairobi Hospital ana historia ndefu ambapo atakumbukwa kwa...

Atwoli atoa salamu za pole kwa familia ya Moi, afananisha Nyayo na BBI

Na WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi (Cotu-K) amesema kuwa Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi alikuwa...

Mzee aenziwa kwa kuvumisha soka miaka ya 80

Na CECIL ODONGO WANAMICHEZO wanaendelea kuomboleza kufuatia kifo cha Rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyeaga dunia katika...

Moi alihakikisha timu zimefadhiliwa vilivyo

AYUMBA AYODI na JOHN ASHIHUNDU MWANARIADHA jagina Kipchoge Keino na Waziri wa Michezo Amina Mohamed waliongoza wapenzi wa michezo...

Moi kupewa mazishi ya taadhima kuu

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa zamani Daniel Arap Moi...

Jinsi Moi alivyowakabili wapinzani na wakosoaji wake

Na WANDERI KAMAU HAYATI Rais Mstaafu Daniel Moi atakumbukwa kwa kuwakabili vikali wale ambao walikosoa utawala wake. Bw Moi hakujali...

Miradi ya Daniel Moi

Na CHARLES WASONGA RAIS mstaafu Daniel Moi ambaye amefariki mapema Jumanne, wakati wa uhai wake alianzisha miradi mbalimbali ambayo...

Jinsi Moi alivyoenziwa kwa namna mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo

Na CHARLES WASONGA NYIMBO nyingi zilitungwa kumsifu Hayati Rais (mstaafu) Daniel Moi na utawala wake uliodumu kwa kipindi cha miaka...