Habari

Msanii wa injili Ringtone ashtakiwa kumtapeli mwanamke

Na RICHARD MUNGUTI May 15th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

MSANII wa injili Alex Apoko almaarufu Ringtone ameshtakiwa kwa kumtapeli mwanamke ardhi ya thamani ya Sh50 milioni.

Mahakama ya Nairobi imeamua awekwe rumande kwa siku nne ili ombi lake la dhamana liamuliwe.

Ardhi hiyo inayozozaniwa ipo eneo la Karen, Nairobi.

Habari zaidi ni kadiri tunavyozipokea…