• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Polisi watahadharishwa kuwaomba raia ‘mafuta’

Na LEONARD ONYANGO INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ameonya maafisa wa polisi wenye mazoea ya kushinikiza watu kununua...

Mashirika ya kijamii yaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia utendakazi wa polisi

Na CHARLES WASONGA MASHIRIKA ya kijamii yamewasuta wanasiasa kwa kuingilia utendakazi wa polisi ilhali ni wao wamekuwa wakiendesha...

IG atetea polisi wavunjao mikutano ya kisiasa

Na BENSON MATHEKA INSPEKTA Jenerali wa polisi, Hillary Mutyambai, ametetea hatua ya polisi ya kumnyima Naibu Rais William Ruto kibali...

Mutyambai aonya wanaothubutu kuviteketeza vituo vya polisi

Na SAMMY WAWERU INSPEKTA Mkuu wa Polisi (IG) Hillary Mutyambai ameonya wanaothubutu kuviteketeza vituo vya polisi. Bw Mutyambai...

Mutyambai kujibu maswali ya Wakenya kila Jumatatu kupitia Twitter

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ametangaza kuwa atakuwa akijibu maswali kutoka kwa umma mitandaoni kila...

Mutyambai azima polisi waliozoea hongo katika vizuizi barabarani

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai Jumatano ameamuru kuondolewa kwa vizuizi na vituo vya ukaguzi wa magari...

Mutyambai atoa onyo kali kwa maafisa wa Knut wanaovuruga mafunzo ya mtaa kuhusu mtaala mpya

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai amewaonya viongozi wa  Chama cha kitaifa cha Walimu (Knut) dhidi ya...

UHALIFU KISAUNI: Wanafunzi wa TUM wamlilia Mutyambai awaokoe

Na STEVE MOKAYA MTAA wa Kisauni, Mombasa huibua kumbukumbu za utovu wa usalama na uoga kila unapotajwa. Hili ni eneo ambalo limepata...

Bunge laidhinisha Mutyambai kuwa Inspekta Jenerali mpya

Na CHARLES WASONGA WABUNGE Jumatano waliidhinisha uteuzi wa Hilary Nzoiki Mutyambai kwa wadhifa wa Inspekta Jenerali wa Huduma ya Polisi...

Mutyambai anaelekea kuingia afisini kama Inspekta Jenerali mpya

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya pamoja ya bunge la kitaifa na seneti imeidhinisha uteuzi wa Hillary Mutyambai kuwa Inspekta Jenarali mpya wa...

Uteuzi wa Mutyambai ulitokana na urafiki wangu na Uhuru – Kalonzo

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa uteuzi wa Bw Hilary Mutyambai kuwa Insepekta Jenerali wa...

Jina la Mutyambai lawasilishwa bungeni

Na CHARLES WASONGA IKULU Jumanne iliwasilisha rasmi bungeni jina la Bw Hilary Mutyambai ambaye amependekezwa kuwa Inspekta Jenerali mpya...