• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 2:56 PM

Ndondi kutua mashinani kwa fujo hatimaye

Na CHARLES ONGADI SHIRIKISHO la Ndondi Nchini (BFK) limeazimia kurudisha mashindano ya Ndondi Mashinani yanayolenga kuchipuza mabondia...

Ari ya kisasi ilimsukuma kwa ndondi

Na GEOFFREY ANENE SARAH Achieng’ Ndisi hakudhania atafanikiwa kuwa bondia mtajika baada ya mazoezi yake ya kwanza mapema 2008, katika...

Onyango atawazwa bingwa wa ndondi

Na CHARLES ONGADI BONDIA George Onyango alimshinda Fred Nyakesha kwa wingi wa alama na kutawazwa bingwa wa taifa katika uzito wa...

Rekodi yake katika ndondi haijavunjwa Bondia wa pekee aliyepata dhahabu mashindano ya dunia

Na CHARLES ONGADI NI bondia wa pekee ambaye ametamba kwa ubora wake katika ndondi zisizo za kulipwa nchini, barani Afrika na...

Ndume 3 ulingoni kwa ndondi za Serbia

Na CHARLES ONGADI MABONDIA watatu wa timu ya taifa 'Hit Squad' watapanda ulingoni leo katika juhudi za kusaka medali katika mashindano...

Matokeo mseto Kenya ikianza ndondi za majeshi nchini Urusi

Na GEOFFREY ANENE KENYA imeandikisha matokeo mseto kwenye mashindano ya ndondi ya dunia ya wanajeshi baada ya Samuel Njau Wairimu kutwaa...

Mombasa yasitisha mashindano ya ndondi hadi michezo ya Olimpiki itakapotamatika

Na CHARLES ONGADI SHIRIKISHO la Ndondi Nchini (BFK) tawi la Mombasa, limesitisha shughuli zake zote hadi kumalizika kwa Michezo ya...

NDONDI: Nahodha Nick ‘Commander’ Okoth kuongoza kikosi kusaka ushindi Olimpiki

Na CHARLES ONGADI NAHODHA wa timu ya taifa ya ndondi Nick ‘Commander' Okoth ameahidi atawaongoza vyema wenzake kuvuna ushindi katika...

NDONDI: Timu ya taifa yaimarisha maandalizi ya Olimpiki

Na CHARLES ONGADI TIMU ya taifa ya ndondi imeimarisha maandalizi yake kwa michezo ya Olimpiki huku ikisalia na wiki mbili kuondoka...

Hit Squad kushiriki mashindano ya masumbwi DRC

CHARLES ONGADI TIMU ya taifa ya Ndondi 'Hit Squad' itashiriki katika mashindano Afrika Zone 3 yatakayoandaliwa jijini Jamhuri ya...

NDONDI: Kenya yasubiria nafasi mbili zaidi Olimpiki

NA CHARLES ONGADI LICHA ya kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) kufutilia mbali Mashindano ya Dunia kufuzu kushiriki Michezo ya...

MABADILIKO: Mike Tyson mkulima hodari wa bangi baada ya kustaafu ndondi

Na GEOFFREY ANENE MIKE Tyson alikuwa bondia shupavu enzi zake katika uzani mzito. Baada ya kuangika glavu zake mwaka 2005, Mwamerika...