• Nairobi
  • Last Updated February 29th, 2024 5:13 PM

Nzoia, Bandari Zagawana Pointi Kwenye Mechi ya Ligi Kuu

NA ABDULRAHMAN SHERIFF TIMU ya Nzoia Sugar FC jana iliondoka na alama moja ya Ligi Kuu ya Betway (BPL) baada ya kuilazimisha Bandari FC...

Nzoia Sugar sasa kupokea fedha za udhamini baada ya kulegeza msimamo dhidi ya FKF

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha Nzoia Sugar kinatarajia wiki hii kupokea mgao wa sehemu ya Sh13 milioni za kwanza za dili ya udhamini kati ya...

Straika wa Nzoia atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Aprili

Na CHRIS ADUNGO STRAITA matata anayeongoza kwa usogora wa kufuma magoli kwene Ligi Kuu ya Kenya msimu huu, Elvis Rupia amejizolea tuzo...

Onyo Nzoia Sugar yaweza kushushwa daraja

Na CECIL ODONGO HUKU ligi kuu hapa nchini ikiingia mechi za raundi ya nne wikendi hii kikosi cha soka cha timu ya Nzoia Sugar bado...