• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 5:55 AM

Karua ajiunga na OKA akiahidi kutumikia nchi vyema wakishinda urais

Na PIUS MAUNDU SIKU chache tu baada ya Musalia Mudavadi (ANC) na Moses Wetang’ula (Ford Kenya) kuhama OKA, Muungano huo umepigwa jeki...

MIKIMBIO YA SIASA: OKA ni mnara mpya wa Babeli uchaguzi ukinukia

Na CHARLES WASONGA HATIMA ya muungano wa One Kenya Alliance (OKA) inaonekana kuyumba mwaka huu mpya na kudidimiza uwezekano wake wa...

OKA wapendekeza hukumu ya kifo kwa watu wafisadi

LUCY MKANYIKA na VALENTINE OBARA MUUNGANO wa One Kenya Alliance (OKA), umependekeza nchi iweke hukumu ya kifo kwa watu watakaopatikana...

OKA, Raila wataungana kukabili Ruto 2022 – Lenku

Na STANLEY NGOTHO GAVANA Joseph Ole Lenku wa Kajiado amedai kwamba ana “ujasusi” kwamba kiongozi wa ODM, Raila Odinga, na muungano...

Wanaotaka kumrithi Uhuru wafuatilia hotuba yake bungeni

Na CHARLES WASONGA WANASIASA ambao wanamezea mate kiti cha Rais Uhuru Kenyatta akistaafu mwaka 2022, jana Jumanne walifika bungeni...

Tsunami yatikisa ndoa ya OKA

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa One Kenya Alliance (OKA) umekumbwa na mashaka yanayoweza kuufanya upasuke na kusambaratika hata kabla ya...

JAMVI: Safari ya OKA, MKF imejaa visiki vingi

Na CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya vinara wa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) kukutana na viongozi jopo la Mt Kenya Forum (MKF)...

CHARLES WASONGA: Njama ya kuua OKA itagharimu Wakenya

Na CHARLES WASONGA NINAKERWA na ripoti kwamba mirengo ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM, Raila Odinga inapanga kuunda...

Mpasuko OKA ANC ikitishia kujiondoa

Na CHARLES WASONGA MPASUKO ndani ya muungano wa One Kenya Alliance (OKA) uliendelea kudhihirika Jumapili siku moja baada ya chama cha...

JAMVI: ANC yatisha kujiondoa OKA ikiwa haitakuwa imeteua mgombeaji urais kufikia Desemba 25, 2021

Na CHARLES WASONGA WANDANI wa kiongozi wa Amani National Congress (ANC) wametisha kuwa chama hicho kitajiondoa kutoka muungano wa One...

Uchovu walemaza kampeni za OKA

Na BENSON MATHEKA VINARA wa Muungano wa One Kenya Alliance (OKA), wanaonekana kukosa msukumo wa kampeni japo wanasisitiza kuwa wameweka...

WASONGA: Vinara wa OKA wanawakanganya wafuasi wao

Na CHARLES WASONGA VINARA wa One Kenya Alliance wanafaa kukataa kushiriki mikutano na Rais Uhuru Kenyatta katika Ikulu na waendelee na...