• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Poghisio amkejeli Lonyangapuo kubadilisha mawaziri kila mara

Na OSCAR KAKAI SENETA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Bw Samuel Poghisio amemsuta Gavana John Lonyangapuo kwa jinsi anavyobadilisha baraza...

Kijana ‘fupi nono round’ amshtaki naibu gavana

Na SAMWEL OWINO MKAZI mmoja wa Pokot Magharibi amewasilisha ombi katika Seneti ili imchunguze Naibu Gavana Nicholas Owon Atudonyang, kwa...

Raia wa Amerika wafunga ndoa ya Kipokot

Na CHARLES WASONGA WANANDOA wawili ambao ni raia wa Amerika wamefanya harusi ya kitamaduni ya jamii Pokot. Bi Teresa na Bw Tony...

Wanakijiji 300 wakesha kwa kijibaridi kufuatia mzozo wa ardhi

Na OSCAR KAKAI TAKRIBAN watu 300 wa familia 11 katika kijiji cha Kapsait,kaunti ndogo ya Pokot Kusini, Kaunti ya Pokot Magharibi...

Baa kuu la njaa lazua utapiamlo na kuumiza wakazi Pokot Magharibi

Na OSCAR KAKAI MAJERAHA kwenye vichwa na nyuso za watoto sita yanakukaribisha unapoingia katika boma la Josephine Chepang’ole Kakuko...

Shirika lafichua miradi inayopendekezwa na wakazi hupuuzwa

Na OSCAR KAKAI RIPOTI ya shirika lisilo la serikali katika kaunti ya Pokot Magharibi inaonyesha kuwa vyama vya kisiasa katika serikali...