• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Wazazi wanadhuru watoto kwa kunywa pombe nyumbani

Na LEONARD ONYANGO [email protected] KUFUNGWA kwa baa na maeneo ya burudani kumewaweka wazazi wanaopenda kubugia mvinyo kwenye...

Pigo kwa walevi sheria mpya ikipitishwa

Na VALENTINE OBARA WALEVI na wafanyabiashara za vileo watapata pigo iwapo serikali itatekeleza pendekezo la kupiga marufuku unywaji wa...

Mikahawa sasa inauza pombe – Serikali

Na SAMMY WAWERU Serikali Jumatatu imefichua kuwa wamiliki wa mikahawa sasa wamebadilisha biashara  na kuanza kuuza mvinyo bila...

Matatizo ya akili yazidi kutokana na sheria kali za coronavirus

Na WAANDISHI WETU WATAALAMU wa afya ya akili wameitaka serikali kuweka mipango ya kupunguzia Wakenya msongo wa mawazo, inapopambana na...

Watu 20 wafariki kwa kunywa pombe kuzuia kuambukizwa corona

Na MASHIRIKA WATU 20 wamefariki nchini Iran baada ya kunywa pombe yenye sumu kwa imani kuwa inaweza kuzuia kuambukizwa virusi vya...

Tunahangaishwa kwa kupiga vita pombe haramu – Nyumba Kumi

Na Phyllis Musasia VIONGOZI wa Nyumba Kumi eneo la Kuresoi Kusini, wametishia kususia majukumu yao kwa madai ya kunyanyaswa na...

Moi alichukia ulevi, asema mjukuu wake

Na FRANCIS MUREITHI MJUKUU wa Rais mstaafu Daniel arap Moi, amefichua kuwa babu yake alichukia pombe na hakutaka walevi wajumuike naye...

Polisi washirikianao na wauzaji pombe motoni

JUSTUS OCHIENG na VITALIS KIMUTAI SERIKALI imelazimika kuchukua hatua ili kukomesha utengenezaji na uuzaji wa pombe haramu na dawa...

AFYA: Yafahamu madhara ya unywaji pombe kupita kiasi

Na MARGARET MAINA [email protected] WATU wengi wanapopumzika nyumbani au vilabuni, utawapata wakinywa pombe...

Pombe, mitambo ya kamari na bangi yateketezwa Thika

Na LAWRENCE ONGARO WALANGUZI wa dawa za kulevya, watengenezaji pombe haramu na wachezaji kamari wamepewa ilani wajiondoe kwa biashara...

Afisa wa polisi na mwanafunzi washtakiwa kwa wizi wa pombe

Na LAWRENCE ONGARO AFISA mmoja wa polisi na mwanafunzi wa chuo kikuu wamefikishwa mahakamani kwa wizi wa pombe kutoka katika kiwanda cha...

Korti yamzuia DCI kufunga akaunti za kampuni ya pombe na mvinyo

Na RICHARD MUNGUTI BIASHARA katika kiwanda cha kutengeneza pombe na mvinyo cha Africa Spirits na kampuni zingine nane zitaanza...