• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 10:25 PM

Shujaa yatiwa kundi la kifo Dubai Sevens

Na GEOFFREY ANENE KENYA Shujaa imetiwa katika kundi ngumu la Raga za Dunia duru ya Dubai Sevens ambalo liko na miamba Australia, Afrika...

Kibarua sugu chasubiri Shujaa ikielekea mawindoni Seville 7s

NA GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga Shujaa iko tayari kupigania matokeo mazuri kwenye duru ya nne ya Raga za Dunia mjini Seville,...

Raga: Kabras, Oilers juu ligi ikienda Krisi

GEOFFREY ANENE na TITUS MAERO WANASUKARI wa Kabras Sugar na Menengai Oilers walifunga mwaka katika nafasi mbili za kwanza kwa alama 20...

Shujaa yapigwa na Great Britain kumaliza raga ya Dubai 7s katika nafasi ya sita

Na GEOFFREY ANENE KENYA Shujaa imekamilisha duru ya pili ya Raga za Dunia za msimu 2021-2022 katika nafasi ya sita jijini Dubai nchini...

Macho yote kwa Shujaa,Morans Safari 7s ikianza

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Kenya watakuwa mawindoni wakidiriki kuanza vyema mashindano ya kimataifa ya raga ya wachezaji saba kila upande...

Kabras na KCB watinga fainali ya raga ya Kenya Cup baada ya kuzima Strathmore na Menengai

Na GEOFFREY ANENE KABRAS Sugar imepiga Strathmore Leos 36-19 nayo KCB ikalima Menengai Oilers 35-17 katika mechi za nusu-fainali za Ligi...

Shujaa yafunzwa umuhimu wa utimamu wa kiakili nao Lionesses wakianza mazoezi ya Olimpiki

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande ya wanaume maarufu kama Shujaa, mnamo Alhamisi ilichukua mapumziko...

Ana matumaini tele kushiriki katika raga ya hadhi akifuata nyayo za Collins Injera

Na PATRICK KILAVUKA MCHEZO wa raga hauhitaji tu usuli na nguvu bali unahitaji ujuzi na mazoezi si haba kuhimili makali yake. Hii ni...

Wanaraga wa Machine wazidia nguvu Egerton Wasps

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya raga ya Chuo Kikuu cha Nairobi almaarufu Mean Machine imelipua Egerton Wasps ya Chuo Kikuu cha Egerton 37-0...

KRU yasema vikosi viko tayari kwa Ligi Kuu ya Kenya Cup

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Raga la Kenya (KRU) litaanza kutoa msaada wa fedha kwa vikosi vya Ligi Kuu ya Kenya wiki hii kwa nia ya...

Homeboyz wakiri ni pigo kwao kupoteza wanaraga wanne

AYUMBA AYODI na GEOFFREY ANENE Klabu ya raga ya Homeboyz huenda imetikiswa na kuondoka kwa wachezaji wanne na kukosa kurejea kwa kocha,...

Shujaa waalikwa kucheza Uhispania na Ufaransa kabla ya msimu ujao wa Raga ya Dunia

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya taifa ya wanaraga saba kila upande almaarufu Shujaa, imepata mwaliko wa kucheza nchini Uhispania na Ufaransa...