• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 7:55 PM

NASAHA: Ni muhimu kwa muumini kudumu katika kuomba msamaha

Na KHAMIS MOHAMED TUMO ukingoni mwa kumi la kusamehewa. Katika mwezi huu wa toba, Waislamu wamepata fursa nyingine tena ya kunufaika na...

RAMADHAN: Kufunga Ramadhani si mateso bali zawadi kwa muumini

Na NUR SAID ENYI mlioamini imefaradhishwa kufunga juu yenu kama walivyofaradhishiwa waliokuwepo kabla yenu ili muweze kupata uchaji...

NASAHA: Tujipinde zaidi kwa uchaji Mungu katika Mwezi huu wa Ramadhani

Na ATHMAN FARSI Leo naomba tuangazie hili swala la amali bora zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mijadala itakuwepo kuwa ni...

Mfungo wa Ramadhan bila sherehe kwa mwaka wa pili

NA AP WAISLAMU kote ulimwenguni walianza kuadhimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan huku maadhimisho hayo yakigubikwa na visa vya...

NASAHA: Lengo kuu la kufunga ni kuwawezesha Waislamu kupata ucha-Mungu

Na KHAMIS MOHAMED MWEZI wa Ramadhani ni katika miezi bora katika miezi kumi na miwili ndani ya mwaka mzima. Ndio mwezi ambao Allah...

Ramadhan: Supkem yaomba Rais asaidie Waislamu kwa chakula na fedha

GEORGE SAYAGIE na AFP VIONGOZI wa Kiislamu wamemrai Rais Uhuru Kenyatta kuwasaidia Waislamu kwa chakula na fedha nchini, wakati...

Zakat Kenya kuwafaa Waislamu Ramadhan

Na CECIL ODONGO HUKU Waislamu wakitarajiwa kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kesho au Jumatano, shirika moja lisilo la...

Waislamu walalamikia gharama ya juu ya maisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ukiwadia

Na KALUME KAZUNGU WAUMINI wa dini ya Kiislamu, Kaunti ya Lamu wamelalamikia hali ngumu ya kiuchumi, ikiwemo ongezeko la bei za vyakula...

Himizo Waislamu watii masharti hata wakati wa sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamewashauri waumini wazingatie sheria na kanuni zilizowekwa kudhibiti virusi vya corona...

COVID-19: Mara hii hakuna mikusanyiko sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO BAADA ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waumini wa dini ya Kiislamu hufanikisha kukamilika kwa mwezi huo kwa...

NASAHA: Wanawake waliopewa udhuru Ramadhan na wanachotakiwa kufanya

Na MISHI GONGO RAMADHAN ni Mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiislamu. Funga au Saumu katika mwezi huo ni nguzo ya nne katika dini...

Kafyu yapunguzia Waislamu ada na shughuli zilizozoeleka Ramadhan

Na MISHI GONGO NI Ramadhan ya kwanza kushuhudiwa ambapo waumini wa dini ya Kiislamu hawateweza kutekeleza ada za mwezi huo kama...