• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

SHANGAZI AKUJIBU: Nilimtumia ‘fare’ akala, nashuku ameniacha

KWAKO shangazi. Nimekuwa na mpenzi kwa miaka mitatu. Wiki mbili zilizopita aliondoka akaniambia anaenda kuwatembelea wazazi wake...

SHANGAZI AKUJIBU: Nahitaji mpenzi lakini nahofia kuchezewa tena

Na SHANGAZI HUJAMBO shangazi? Nina umri wa miaka 28 na nilipata mtoto punde tu baada ya kukamilisha elimu ya shule ya upili. Mwanamume...

SHANGAZI AKUJIBU: Kusaka asali nje kumeniletea balaa na mke wangu

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Nilioa miaka mitano iliyopita na tuna watoto wawili. Ilifika wakati mama watoto akashindwa kunishibisha na...

SHANGAZI AKUJIBU: Nataka mke ahamie mashambani lakini amekataa

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Nilimpa mimba mwanamke mpenzi wangu na nikamuoa kwa sababu nampenda kwa dhati. Ingawa nimeajiriwa, mshahara...

SHANGAZI AKUJIBU: Anataka kunioa baada ya wazazi kututenganisha

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana na alikuwa ameahidi kunioa. Hata hivyo, wazazi wake walipinga mpango...

SHANGAZI AKUJIBU: Meidi, baba watoto wanatupiana macho kivingine

Na SHANGAZI VIPI shangazi? Huu ni mwaka wa pili tangu niolewe na tumejaliwa mtoto mmoja. Ninashuku kuna kitu kinachoendelea kati ya mume...

SHANGAZI AKUJIBU: Nimeolewa na nimeshika mimba ya bosi wangu

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 36 na nimeolewa. Nina uhusiano wa pembeni na bosi wangu na nimegundua...

SHANGAZI AKUJIBU: Visura nawaona tele huku lakini mbona sipati mke?

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Nina umri wa miaka 39 na huu ni mwaka wa pili nikitafuta mchumba na bado sijapata. Wanawake ni wengi na...

SHANGAZI AKUJIBU: Mbona ananihadaa kuwa ana mke na watoto?

Na SHANGAZI HABARI zako shangazi? Nina umri wa miaka 36 na nina mtoto ingawa sijaolewa. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na...

SHANGAZI AKUJIBU: Namzimia kipusa fulani lakini wala hana habari

Na SHANGAZI SHIKAMOO shangazi! Nina jambo ambalo linanitatiza moyoni. Kuna mwanamke fulani ambaye amenasa moyo wangu na ninatamani sana...

SHANGAZI AKUJIBU: Je, huenda mke wangu ana uhusiano wa pembeni?

Na SHANGAZI HUJAMBO shangazi? Nina mke ambaye tumeishi pamoja kwa mwaka mmoja sasa. Hata hivyo kuna jambo fulani ambalo nimegundua...

SHANGAZI AKUJIBU: Ndiye wangu wa kwanza na nimegundua ni mkware wa kutupwa

Na SHANGAZI KWAKO shangazi. Nimekuwa na mpenzi kwa karibu mwaka mmoja. Amekuwa akiniahidi kuwa atanioa ingawa bado hajanitambulisha kwa...